Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Nyandu nakataa..hagongi mambo ila anadeal nayo....kwa taarifa yeye ndo alimuokoa byser katika shimo na sasa anapambana kumnusuru young dee

Young D na Nyandu wote vijugu! Kinachowaponza wengi ni 'upunda'. Kuna kitu inaitwa 'kikata mavi' yaani unavuta ukiwa umemeza kazi il I kukata haja.. Hapo ndo wanapoanza mdogomdogo.

Pia wasanii wengi wana 'ngoma' na wanajijua so mawazo! Hao mademu wa Bongo movies ndo mama yaaangu acha tu huyo wanayemwita madame cjui ana kick Bongo tu sema viwanjani wahuni wanajipigia kwa mistari ya Coco tu no aibu.

Katoto kama oung D kanaupenda unga Noma. Mr Nice ile ngwengwe .Ngwair kweli ngada alikua anakula ila sumu ndo ilompoteza watu wamepigia mstari Ngada tu ila waliamua kumziba mdomo maziiima!
 
Unga ni mbaya sana, kwanza mjue unga unasababisha UKIMWI. Ndio, mchukue mla unga yeyote aliyekondeana kama daz faza mwalimu kampime ni lazima ukute ana upungufu wa kinga mwilini.

Jiulize kwanini mastaa wengi waliokufa kwa UKIMWI nchini marekani ni wahanga wa unga? Ndio maana mimi siamini ukimwi unaambukizwa na ngono. Ukimwi unatengenezwa na tabia zetu za maisha na HIV haipo. Don't quote me wrong, naamini UKIMWI upo.
 
yelewii wacha kupotosha jamii... hawa ambao huo unga hawaujui na wanateketea kwa ukimwi...
 
Inawezekana
Ila ray c mbona hajakonda
 
Inawezekana
Ila ray c mbona hajakonda
Kuhusu HIV sikubishii saana kuna siku tulishawahi kaa dokta bingwa wa Kuhusu haya magonjwa nae alitoa kauli kama hii..Huko mbele watu wengi wenye UKIMWI ni gays
 
Hivi na huyu Young D hatumi kweli..😡
😡..Simuelewi akiwa anahojiwa kwenye vipinde vya Tv..
 
Hali inatisha kiukweli. ..nipo chimbo kufanya tathmini nije na list ya ukweli ya wanamuziki na vijana maarufu bongo wanaopumuliwa kisogo. .mbaya zaidi wengine wanakula unga na kubokolewa
wengi sana wanapigwa nyuma.
 
Hivi wasanii wa mziki au bongo movie huwa wanaingia humu au watu wao wa karibu huwafikishia habari za humu?
wanaingia sana tu, jambo likijadiliwa sana humu dongo wanapeleka insta.
 
Kama ni kweli Vanessa Mdee anatumia hizi vitu basi atanisikitisha kuliko wote, nilikuwa namkubali sana na nilivyokuwa namchukulia ni tofauti na wasanii wengine wa kike, sikuwahi kumfikiria anaweza kuwa kwenye huo upande. But lisemwalo lipo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…