Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Mimi nnachofurahi ni kuona Sir Nature 'Kiroboto' pamoja na uhuni wake wote ila anasema cha Arusha tu kinamtosha
Na viroba original, Maning Nice wakiona huu uzi wataelewa ninachoongea.
Dar-Mtwara hiyo
 
Huku sio kuwasaidia
huku ni kuzidi kuwa abuse
tuendelee kuwaheshimu kwa kujizuia kuwa abuse
kwa kuzidi kuwatangaza na kuwashupalia

Boss na were nasikia cha ARUSHA unakipuliza na rafiki yako waziri mstaafu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…