glory josefu
Member
- Feb 20, 2016
- 60
- 14
hahahah anapark kituo gani mkuu pale jvc au crdb?Mr. Nice siku hizi ni Dereva wa bajaji Kahama, Shinyanga.
Bora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz jeDaz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
huyu ndo funga kazi mkuuDogo Mfaume,yaani anatia huruma.
Mr. Nice siku hizi ni Dereva wa bajaji Kahama, Shinyanga.
Ndio ukweli.Acha masikhara bosii..., Hahahahhaha nacheka kama mazuri
Acha unafki machozi ya nini sasa!Classmate wangu yaaani nikimuonaga machozi yananidondokaaa
Duh pole zakeBora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz je
biscuits na soda ndo msosi lazma wanyookeHivi wakuu ukiwa unabwia sembe lazima ukonde?naombeni contact inapopatikana nataka kukonda maana nimenenepa kama kibakuli!
Unaweza usikonde ila kama wa kiume ukafanywa kipoozeo na maselaHivi wakuu ukiwa unabwia sembe lazima ukonde?naombeni contact inapopatikana nataka kukonda maana nimenenepa kama kibakuli!
vuti ungaOrodha ya wavuta unga kwa wasanii hapa Tanzania ni kubwa sana, wapo wengi wanatumia kwa siri ila wanajitutumua kwa kulinda status zao.
Baadhi ni hawa nimewahi kuambiwa na kusikia kutoka kwa watu wa karibu wanaowafahamu au kwenye media.
1/Juma Nature.
2/Chege.
3/Mheshimiwa Temba.
4/Afande Sele.
5/Mr.Blue.
6/Twenty %
7/Lady JD.
8/Fid Q.
9/Bushoke.
10/Salama J.
11/Wema Sepetu.
12/Young D.
13/Ben Paul.
14/Sister P.
15/Madee.
16/Ferouz.
17/Karapina.
18/Sugu.
19/Dully Skesy.
20/Ally Choki.
21/Chidi Benzi.
*Baadhi yao(Wachache sana) inasemekana wamefanikiwa kupunguza au kuacha
Kwa kweli jf idumu milele .Mkuu waingereza wenyewe wakiona hii lazima wakasirike. Whitney Houston and his daughter? Mhn.
muda c mrefu kabla mambo ya poda hayajawa tight alikuwa ana bwn mwananyamala nyuma ya hospital bwn anamoishi poda inauzwa humohumoNi kweli huponi haraka lakini ni muda sasa tokea aseme ameacha na kumshukuru Kikwete kwa kumsaidia
Umemkosoa ila hujaandika hicho unachoona ni sahihi...umepoteza uhalali wa kumkosoa"On your own language" Basi sawa umesikika. Unaonaje na wewe ukianza kutumia kiswahili au kilugha chenu kindali ukaachana na yai la Malkia.. Chukua ushauri wako mwenyewe
Dah! Mtinko kwetu mkuu ...vp na ww mwenyeji nn huko?Dah,nami niliwahi kutana nae pale rufita bar akiwa kachoka mbaya,mwezi mmoja baabae nilienda singida kijiji kinaitwa MTINKO nikakuta mabango yanayoonesha kwamba wiki mbili nyuma ilikua ni tarehe ya yeye kupiga show,nilisikitika sana mana huku mjini haskiki kabsa kweli nchi yetu kuna watu wakishakutumia ukaishiwa hawana time na wewe tena.hapa ndo naumia nikkiiskia ile nyimbo ya Rady J dee IWEJE UWE HISTORIA KABLA SIKU ZAKO HAZIJAFIKA.Leo watu kama chid,Tid,Rayc na huyu daz baba wamekua historia kabla ya muda wao.
Bora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz je
Bora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz je
Bora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz je
Unakula unga halafu unashindia chips lazima usandemasikini chidibenzino a.k.a chuma kaisha kwel kabaki na nguvu zakusukumia gogo tu....ama kwel ngada mbaya sanaa