Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Hawa ni wasanii tu na tuna Watanzania kibao wameathirika kwenye dubwasha hili. Tusimame na Makonda
 

Kwani walilazimishwa??
 
 
Qchillah aka Savimbi Ameharibu FUTURE yake sana,Kugombana na OBAMA na QS ni jambo la kitoto sana.
 
Hivi ni kweli wasanii wengi wanaingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya ili kuondoa stress? Na baadaye wanajikuta wamezama?
 
Ni kweli Ila pia kampani mbaya hasa kumbi za starehe na clubs. Wanakutana na majamaa wakaja wenyeviti hela walioishi hata huko nje wakianza nao Urafiki wanajikuta wanalishwa cocaine.
 
Au pia kushuka kimzikii na wakikumbuka bata zote wanapanic na ndo shida inapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…