Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hii list sitaki kuthibitisha kua wote ni watumiji lakini kwa kiasi kikubwa Wengi wamepotea kwenye gani kwa sababu ya haya matatizo.
Let's go in a right way to eradicate this disaster.
- Chid Benz
- Ray c
- Feroz
- Mangwea(R.I.P)
- Maloo
- 20%
- Nature
- Misosi
- Inspekta Harpoon
- Side Mnyamwezi
areu serious?Lady Jay Dee

Astaghfulilah!!!!!!!!! Memsahau aseeeDogo Mfaume,yaani anatia huruma.
Ustar mzigo SanaAu pia kushuka kimzikii na wakikumbuka bata zote wanapanic na ndo shida inapoanzia.
kamaanisha kahama iliyopo ndani ya shinyanga, hakuna kahama dodoma, nilivyomuelewa mie, sio bajaji kutoka kahama kwenda shinyangaKuna bajaji za kahama shinyanga?
Kumbe huyu dogo naeDogo Mfaume,yaani anatia huruma.