Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Tatzo wasanii wakibongo ulimbuken mwingi wakipata vijisenti kidogo wanataka kujaribu kila starehe mademu wakwao bangi akihamia kwenye unga kwisha habar yake kwa sababu unga haujalibishwi ukigusa tu huchomoki
 
Nilimuona Dudubaya last early Sunday this week akitokea pale Meridian Jamaa anatembea kama kuna mtu anampush sema kabaki na urefu wake tu ila ule Mwili wa kuvimba aliokuwa anatishia watu kasoro Big Shalo Van Dame ndio kwisha... Acha Pombe wewe....
 
Mr nice nae kawa kama wa kuchora, sijui kwanini watumiaji wa madawa hawajifunzi kwa wenzao wapo kama nyumbu.... Pole zao kwakweli
huyu mr nice saiv yuko Kahama ni mizinga kwa kwenda mbele, kuna siku nilimuona anaendesha bajaji!!!!!!!
 
Lord eyez a.k.a kakajambazi,Ibra da hustler donnie etc
 
mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
 
Nilimuona Dudubaya last early Sunday this week akitokea pale Meridian Jamaa anatembea kama kuna mtu anampush sema kabaki na urefu wake tu ila ule Mwili wa kuvimba aliokuwa anatishia watu kasoro Big Shalo Van Dame ndio kwisha... Acha Pombe wewe....
Huyo konyagi mingi,anajiitaga mzee wa bapa!!!
 
Kuna prezzo huyu jamaa ndo ana anza sijui vile vituko alivyovifanya KTN kweli hata ugoro sitothubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…