Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Alitakiwa asemeje?Embu !!? utakuwa msukuma wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitakiwa asemeje?Embu !!? utakuwa msukuma wewe...
Haya maisha mmmh kila mtu anachagua yanayomfaa wao wamechagua hayohuyu mr nice saiv yuko Kahama ni mizinga kwa kwenda mbele, kuna siku nilimuona anaendesha bajaji!!!!!!!
Vijana na ulimbukeni want hayo madawa siijui hata wanayapendea nini mtu akipata umaarufu kidogo tu lazma atumieniliwahi kumuona tabata segerea kitambo kidogo kwenye club moja ya rufita mpaka niliona huruma mixer kawa kama msomali
Kuna bajaji za kahama shinyanga?Mr. Nice siku hizi ni Dereva wa bajaji Kahama, Shinyanga.
...his daughter siyo!?mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
Kizungu kilikuja na meli...his daughter siyo!?
Kahama, ShinyangaKuna bajaji za kahama shinyanga?
Sawa sawa nimeelewa asante sanaKahama, Shinyanga
Karatu, Arusha
Kinondoni, Dar es Salaam
Unguja, Zanzibar
Karagwe, Kagera
Ilemela, Mwanza
Nadhani umenielewa.
Nadhami imefika wakati wasanii katika vyama vyao wawe na kamati ya maadili au kitengo maalumu cha kuzuia watumia unga au bangi na mirungi..
Hii itasaidia kuepusha vitu vingi ikiwemo kuwaepusha wasanii kuwa addicted na madawa.
Mfano tatizo kama la Ray C au Banza stone, ni matatizo ambayo yangeweza kuepukika kungekuwa na kamati maalumu ya kusimamia code of conduct ikiwemo kuzuia na kuwa wakali kwa watumiaji wa hizo vitu.
Kwa hiyo awekwe jumba la makumbusho?Manyanya ndo anapo kula sembe ferouz amekuwa kama museum yani kama babu ukimuona
T I D yuko hapa k studio amebakia kubadilisha nywele rangi kama mauwa ya saa nne au kinyonga yupo na bill nasi asipoangalia atamuharibu yule dogo mapemaaTID Mnyama hana hata tena nguvu ya kunyanyua sim aina ya Tecno smartphone
Aisee acha kabisa yule na daz baba ni kama laana ile wanaitaji maombiKwa hiyo awekwe jumba la makumbusho?
Rekebisha hapa....he or her? Ili ueleweke.mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
wewe mwenyewe uko broken.Rekebisha hapa....he or her? Ili ueleweke.
Mimi nimemuuliza cjamrekebisha.wewe mwenyewe uko broken.
his ---- her
he ---- she