Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
afu Daz alikuwa anakuzimia sana, ndo basi tena unga umemwaribuDaz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu Daz alikuwa anakuzimia sana, ndo basi tena unga umemwaribuDaz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
Kuna siku alihojiwa akasema hatumii kabisa madawa na watu wana mzushia lakini ukimuangalia uhitaji kumpima kugundua...yani kaisha ile mbaya!Daaah aisee unayo sema ni kweli tupu me kuna siku asbh nimemuona kwa hapo sanene yupo kwetu pazuri na dada yake jamaa kachakaa mbaya
Nilimuona Dudubaya last early Sunday this week akitokea pale Meridian Jamaa anatembea kama kuna mtu anampush sema kabaki na urefu wake tu ila ule Mwili wa kuvimba aliokuwa anatishia watu kasoro Big Shalo Van Dame ndio kwisha... Acha Pombe wewe....
Duuu huyu ana hali mbaya sana sijui kama anaweza hata kupona daaa? ...
Ferouz nmemuona leo asubuhi chimbo flani Sinza daaah kwisha habari yakee
KIBAHA, PwaniKahama, Shinyanga
Karatu, Arusha
Kinondoni, Dar es Salaam
Unguja, Zanzibar
Karagwe, Kagera
Ilemela, Mwanza
Nadhani umenielewa.
Aisee acha kabisa yule na daz baba ni kama laana ile wanaitaji maombi
Ana hali mbaya kwakweliDuuu huyu ana hali mbaya sana sijui kama anaweza hata kupona daaa? ...
.
Kweli kabisa kuna ukweli!Safari moja huanzisha nyingine, kuwa mlevi wa kupindukia halafu ukawa na Makundi ya ajabu ajabu utaishia kutumia vilevi hatarishi.
kweli kabisa wasie mjua najua watabisha.Rose Muhando.
Duuu huyu mwanzo sikuamini lakini nilivyo ona picha ndio nikaamini daaakweli kabisa wasie mjua najua watabisha.
Hapana mkuu ferouz hali unga..ila yuko pale dar free market anafanya biashara ya mgahawaYaani Ferouz alikuwa anamtenga Daz Baba kundini kisa anakula unga, nashangaa na yeye kaingiaje?
Labda ana maanisha Wema lakini labda kama ni punda!Yupi huyo
Nimependa swal lako nimecheka had rahaKuna bajaji za kahama shinyanga?
Hakika na kama hawatumii basi wengi wao ni mapunda!Kumbe inawezekana 55% ya wasanii wetu wanajihusisha na aina yeyote ya madawa
Na hapa nazungumzia madawa mengine sio bangi maana na uhakika bangi wanatumia woote
Hahahaha mkuu pengine hufahamu! Pamoja na kuwa na biashara pale lakini ukweli ni kwamba Ferouz amekuwa akitumia ninafahamiana na jamaa ambaye alikuwa anampa madeal ya show hasa kwenye sherehe za serikali na anasema alisha mshauri sana aache na amekuwa akisema ana acha....! Labda kama athari hazijaonekana..Hapana mkuu ferouz hali unga..ila yuko pale dar free market anafanya biashara ya mgahawa