Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

niliwahi kumuona tabata segerea kitambo kidogo kwenye club moja ya rufita mpaka niliona huruma mixer kawa kama msomali
Vijana na ulimbukeni want hayo madawa siijui hata wanayapendea nini mtu akipata umaarufu kidogo tu lazma atumie
 
Nadhami imefika wakati wasanii katika vyama vyao wawe na kamati ya maadili au kitengo maalumu cha kuzuia watumia unga au bangi na mirungi..

Hii itasaidia kuepusha vitu vingi ikiwemo kuwaepusha wasanii kuwa addicted na madawa.

Mfano tatizo kama la Ray C au Banza stone, ni matatizo ambayo yangeweza kuepukika kungekuwa na kamati maalumu ya kusimamia code of conduct ikiwemo kuzuia na kuwa wakali kwa watumiaji wa hizo vitu.

Huwezi kumlinda mtu Mzima mwenzako. Wanaotumia acha watumie hakuna namna
 
Wasanii wengi wanaprnda sembe nyeupe ndo mana hawana akili hawali dona kabisaa
 
Back
Top Bottom