pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Manyanya ndo anapo kula sembe ferouz amekuwa kama museum yani kama babu ukimuonaYaani Ferouz alikuwa anamtenga Daz Baba kundini kisa anakula unga, nashangaa na yeye kaingiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyanya ndo anapo kula sembe ferouz amekuwa kama museum yani kama babu ukimuonaYaani Ferouz alikuwa anamtenga Daz Baba kundini kisa anakula unga, nashangaa na yeye kaingiaje?
Embu !!? utakuwa msukuma wewe...
Kwani wasomali wakoje hebu dadavua Mkuuniliwahi kumuona tabata segerea kitambo kidogo kwenye club moja ya rufita mpaka niliona huruma mixer kawa kama msomali
We chipaka baada ya kuvuruga Tlp ukavuruga na sasa nccr baada ya hapo unaelekea wapiWaambie waje kwa monabani agawa unga bure
huyu mr nice saiv yuko Kahama ni mizinga kwa kwenda mbele, kuna siku nilimuona anaendesha bajaji!!!!!!!Mr nice nae kawa kama wa kuchora, sijui kwanini watumiaji wa madawa hawajifunzi kwa wenzao wapo kama nyumbu.... Pole zao kwakweli
Classmate wangu yaaani nikimuonaga machozi yananidondokaaaDaz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
😕😕his or her???mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
Dada unawajua,!!!unawaonaga wapi,?au na ww unaendaga leaders ijumaa usiku?Mr nice nae kawa kama wa kuchora, sijui kwanini watumiaji wa madawa hawajifunzi kwa wenzao wapo kama nyumbu.... Pole zao kwakweli
Huyo konyagi mingi,anajiitaga mzee wa bapa!!!Nilimuona Dudubaya last early Sunday this week akitokea pale Meridian Jamaa anatembea kama kuna mtu anampush sema kabaki na urefu wake tu ila ule Mwili wa kuvimba aliokuwa anatishia watu kasoro Big Shalo Van Dame ndio kwisha... Acha Pombe wewe....
mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
mbona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.