Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Daaah aisee unayo sema ni kweli tupu me kuna siku asbh nimemuona kwa hapo sanene yupo kwetu pazuri na dada yake jamaa kachakaa mbaya
Kuna siku alihojiwa akasema hatumii kabisa madawa na watu wana mzushia lakini ukimuangalia uhitaji kumpima kugundua...yani kaisha ile mbaya!
 
haaaa! mpaka ze dudu, mwili nyumba!
Nilimuona Dudubaya last early Sunday this week akitokea pale Meridian Jamaa anatembea kama kuna mtu anampush sema kabaki na urefu wake tu ila ule Mwili wa kuvimba aliokuwa anatishia watu kasoro Big Shalo Van Dame ndio kwisha... Acha Pombe wewe....
 
Halafu kuna thread ilianzishwa hapa siku moja na kusema kuwa Beni paulo ana jihusisha na madawa! Sikuwai kuamini hizi habari kabisa lakini kuna siku nilimuona hadi leo huwa najiuliza mara mbili...huwa sielewi...! Naomba isiwe kweli daa..
 
Safari moja huanzisha nyingine, kuwa mlevi wa kupindukia halafu ukawa na Makundi ya ajabu ajabu utaishia kutumia vilevi hatarishi.
Kweli kabisa kuna ukweli!
Pia huwa nikimuangalia Matonya siku hizi simuelewi kabisa....
 
Kumbe inawezekana 55% ya wasanii wetu wanajihusisha na aina yeyote ya madawa
Na hapa nazungumzia madawa mengine sio bangi maana na uhakika bangi wanatumia woote
 
Kwanini wasikamatwe then waanze kuwa'trace wanakopata hyo poda
 
Yaani Ferouz alikuwa anamtenga Daz Baba kundini kisa anakula unga, nashangaa na yeye kaingiaje?
Hapana mkuu ferouz hali unga..ila yuko pale dar free market anafanya biashara ya mgahawa
 
Kumbe inawezekana 55% ya wasanii wetu wanajihusisha na aina yeyote ya madawa
Na hapa nazungumzia madawa mengine sio bangi maana na uhakika bangi wanatumia woote
Hakika na kama hawatumii basi wengi wao ni mapunda!
 
Hapana mkuu ferouz hali unga..ila yuko pale dar free market anafanya biashara ya mgahawa
Hahahaha mkuu pengine hufahamu! Pamoja na kuwa na biashara pale lakini ukweli ni kwamba Ferouz amekuwa akitumia ninafahamiana na jamaa ambaye alikuwa anampa madeal ya show hasa kwenye sherehe za serikali na anasema alisha mshauri sana aache na amekuwa akisema ana acha....! Labda kama athari hazijaonekana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…