Haaaa haaaa haaaaMr nice pamoja na kulost lakini bado anakumbuka kupiga kazi????.... Kweli wachaga nyoko...
Huyu Recho hata mimi nilisikia nimtumiaji na wanasema amefunzwa na T.I.D mnyamaNasikia ña Recho kaanza kutumia
Hahahaha..Mr nice pamoja na kulost lakini bado anakumbuka kupiga kazi????.... Kweli wachaga nyoko...
Hahahahaaa this is too much jamani!TID Mnyama hana hata tena nguvu ya kunyanyua sim aina ya Tecno smartphone
Uwiiiiiii nimecheka sanakuna kipindi alienda kuchimba dhahabu za mtaroni chunya sasa cjui aliwezaje kubeba beleshi
Nimekukubali Mkuu Hizo sababu ulizotoa,Wasanii wanapapatikiwa sana na watoto wakare wa kishua sasa ili kuwadadisha warembo on bed ndio hapo Wasanii wanadanganyana kwamba ukipiga sembe gemu unakuwa si mchezo saa nzima upo kifuani.Sababu kuu
.unyamwezi
.wanabebeshwa
.stress..jina kubwa no mshiko
.mkumbo. .mara nyingi ukidate na mvutaji utavuta tu
.kutojiamini katika kugongana. .wanaamini ukivuta unachelewa kufanya kojozi
Unakumbuka tulibishana sana?Tena ilikuwa siku ya kuamkia Ramadhan ya mwaka jana.Halafu kuna thread ilianzishwa hapa siku moja na kusema kuwa Beni paulo ana jihusisha na madawa! Sikuwai kuamini hizi habari kabisa lakini kuna siku nilimuona hadi leo huwa najiuliza mara mbili...huwa sielewi...! Naomba isiwe kweli daa..
Hahahahaaa mambo mengine bwana?Sasa kuna maana gani ya kupata sifa huku unajimaliza?Nimekukubali Mkuu Hizo sababu ulizotoa,Wasanii wanapapatikiwa sana na watoto wakare wa kishua sasa ili kuwadadisha warembo on bed ndio hapo Wasanii wanadanganyana kwamba ukipiga sembe gemu unakuwa si mchezo saa nzima upo kifuani.
Nakumbuka sana tena sana nilibisha maana sikutegemea na bahati nzuri kuna mtu nilikuwa nimekaa nae akasema jamaa ni teja..daa nilisikitika sana ila kuna siku nilimuona pale FNL(EATV) nilistuka sana na ile hali halafu swali hilo alilikwepa na kusema kifupi ni uzushi....daa sijui shida ni nini? bora aache maana ipo siku atazidiwaUnakumbuka tulibishana sana?Tena ilikuwa siku ya kuamkia Ramadhan ya mwaka jana.
Nilikuambia jamaa anakula unga ukakataa,ipo siku utaniambia.
Hebu tupe story kidogo Haruna alimuokoaje?Q chillah aliokolewa na haruna niyonzima ndo kidogo sasa ana afadhali ila ingekuwa tushamfukia yeye na ray c wake
Huu ni uthibitisho tosha kwamba wasanii wengi wanabebe sembe kwa njia moja au nyingine mfano ni matonya
Siku nyingine usipende kubisha kitu sababu ya mahaba yako kwa mhusika.Nakumbuka sana tena sana nilibisha maana sikutegemea na kuna bahati nzuri kuna mtu nilikuwa nimekaa nae akasema jamaa ni teja..daa nilisikitika sana ila kuna siku nilimuona pale FNL(EATV) nilistuka sana na ile hali halafu swali hilo halilikwepa na kusema kifupi ni uzushi....daa sijui shida ni nini? bora aache maana ipo siku atazidiwa
Kwakweli Ben kanisikitisha sana!!! Daah ye mwenyewe umbo lake ngada sa kama anatupia basi soon atabaki skeleton ka Daz babaSiku nyingine usipende kubisha kitu sababu ya mahaba yako kwa mhusika.
Ile habari niliipata kutoka chanzo cha kuaminika na hata jamaa ukimuangalia ongea yake ni kama teja kabisa.
Kalainiiiiika!
Halafu hivi unajua kama Katema na mfadhili wake bwana QS? halafu kwa maelezo ya Chillah jamaa alikuwa ana mshawishi aingie kwenye biashara ya kuwa punda.Hebu tupe story kidogo Haruna alimuokoaje?
Kufundishwa na tid huyo rechoNasikia ña Recho kaanza kutumia
Yeah very true..wrong people wrong life!!....yaani ndo inakuwa imetoka ukija stuka is too late na maisha yako yameshaharibika, na hakuna kitu kibaya kama mtu kukuharibia future ( life) aseeee...Kufundishwa na tid huyo recho
Young d na tunda
Ray c na lord eyes
Mapenzi na wrong people
Hapo katika red sijakusoma...yani dogo d kafundishwa na tunda?????Kufundishwa na tid huyo recho
Young d na tunda
Ray c na lord eyes
Mapenzi na wrong people
Kufundishwa na tid huyo recho
Young d na tunda
Ray c na lord eyes
Mapenzi na wrong people