Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Usiamini kila kitu cha humu, kuna mengine Ni kweli na mengine ni kuchafuana. Nilichogundua kila mwenye mwili Mdogo au mwembamba basi anahususishwa moja kwa kina na matumizi ya unga hata yupo hivyo toka mwanzo.Kama ni kweli Vanessa Mdee anatumia hizi vitu basi atanisikitisha kuliko wote, nilikuwa namkubali sana na nilivyokuwa namchukulia ni tofauti na wasanii wengine wa kike, sikuwahi kumfikiria anaweza kuwa kwenye huo upande. But lisemwalo lipo....