Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

Kwa diamond umebugi mzee maana Ana lugha za mtaani Sana akiwa anajibu maswali
 
Wenye nyodo.
1.Alikiba
2.Baraka da prince.
3.T.I.D
4.Dully
….........
Huyo namba mbili akijitahidi atamfikia namba moja kwa nyodo.....

NAOMBA NIMTETE KIBA.
JAMAA ANAJUA KUONGEA NA YUPO BTIGHT SANA TATIZO LIPO KWA WATANGAZAJI WETU HUWA WANAHOJI MASWALI KUHUSU BEEF NA CHIBU. KITU AMBACHO JAMAA HAPENDI KUHOJIWA KUHUSU MTU MWINGINE NAHISI HATA WW HAPO UKIULIZWA KITU USICHOKIPENDA KILA DAKIKA LAZIMA UTAPOTEZA ILE FURAHA YAKO NA UTAONEKANA NA NYODO...
 
Mmmh Diamond aliyeandika Kuwa Mtoto wake Wasije Wakamla Sana Wamle Kidogo tu..

Namkubali ila Siyo Kwa Upeo wake
Yaani yule ndo hamna kitu kuna siku alisema eti sio kila rafiki yake anamkaza dadake, alafu huyo ndo wanamueka kwenye list [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kweli kabisa
 
Diamond ni mzungumzaji mzuri na ni kijana anayeonekana ana upeo mkubwa.

Naamini hata darasani angekuwa yuko vizuri endapo angepata fursa nzuri ya kusoma.
Ni kazi ya Mameneja wake, kafundishwa Mkuu, interviews za mwanzo na sasa zina utofauti
 
Tuache masiala wakuu! Nani alisha wahi kumsikiliza NASH MC akihojiwa? Yawezekana wengi hammjui huyu jamaa. Ila nafikiri ndiye msanii anayefanya vizuri kwenye mahojiano na hakuna wa kumkaribia hapo. Mfano mzuri tafuteni mahojiano kati ya NASH, GODZILA na NIKKI WA PILI
Then muanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…