me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Nakubaliana na wwnicki wa pilib
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wwnicki wa pilib
hahahaaaahha!
ana dharau nyau yule!!!
Kumbe kuongea vizuri hadi uwe na elimu kuuumbeee....Kwani Diamond anaelimu gani mpaka aongee vzr?
Halafu huo ni ujinga na ushambaDuly Sykes na TID wakifanya interview usiangalie ukiwa na watoto kwa sababu muda wowote wanaweza kutukana.
Wenye nyodo.
1.Alikiba
2.Baraka da prince.
3.T.I.D
4.Dully
….........
Huyo namba mbili akijitahidi atamfikia namba moja kwa nyodo.....
Yaani yule ndo hamna kitu kuna siku alisema eti sio kila rafiki yake anamkaza dadake, alafu huyo ndo wanamueka kwenye list [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mmmh Diamond aliyeandika Kuwa Mtoto wake Wasije Wakamla Sana Wamle Kidogo tu..
Namkubali ila Siyo Kwa Upeo wake
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]Pozi la kishamba la kisukuma ila sio sana
Kweli kabisaNAOMBA NIMTETE KIBA.
JAMAA ANAJUA KUONGEA NA YUPO BTIGHT SANA TATIZO LIPO KWA WATANGAZAJI WETU HUWA WANAHOJI MASWALI KUHUSU BEEF NA CHIBU. KITU AMBACHO JAMAA HAPENDI KUHOJIWA KUHUSU MTU MWINGINE NAHISI HATA WW HAPO UKIULIZWA KITU USICHOKIPENDA KILA DAKIKA LAZIMA UTAPOTEZA ILE FURAHA YAKO NA UTAONEKANA NA NYODO...
Washamba hao wa interview au hawajiamini ndio maana.Wenye nyodo.
1.Alikiba
2.Baraka da prince.
3.T.I.D
4.Dully
….........
Huyo namba mbili akijitahidi atamfikia namba moja kwa nyodo.....
Ni kazi ya Mameneja wake, kafundishwa Mkuu, interviews za mwanzo na sasa zina utofautiDiamond ni mzungumzaji mzuri na ni kijana anayeonekana ana upeo mkubwa.
Naamini hata darasani angekuwa yuko vizuri endapo angepata fursa nzuri ya kusoma.
kwenye mkasi ndo aliboa kinoma jamaa anaongea sanaSimpendi huyu jamaa, maringo kibao kama demu
Umeonakwenye mkasi ndo aliboa kinoma jamaa anaongea sana
Ukiangalia interview yke lazma ufurai... kejel nyng na kujiamin. Ila hana dharau kwa mtangazNi kigogo ndiyo maana.Ila mimi nalipendaga hivyo hivyo li-beast! [emoji2] [emoji2] [emoji2]