stephanoadolph
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 100
- 76
HahahahahaIla sasa hivi anaweza kukulisha wewe na ukoo wako mwaka mzima balanced diet
Dogo janjaroHalafu moja akae nani?
Gigy moneynimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d
HahahahaDogo janjaro
Anajifanyaga Mwanataaluma full kuboa tunicki wa pilib
Nilidhani ni mimi peke yangu hadi nikawa nahisi labda namwonea wivu.Anajifanyaga Mwanataaluma full kuboa tu
Aisee tuko wengi Mkuu , full kujifanya mzee wa consciousness, mara ye ndo anajua mambo ya future. Yule simsikilizagi kabisaa kwenye interviewsNilidhani ni mimi peke yangu hadi nikawa nahisi labda namwonea wivu.
Lakini in general ananiboa kujifanya anajua kila kitu.
Huyu ni shida....[/QUOTE
Balaa la huyu nyau muulize Sporah na kipindi chake.Aliharibu huyu nyau alipo kuwa na interview na huyu Mdada hadi aibu.
ni kweli akili nyingi huondoa maarifa .. mpaka anaboa sasaAnajifanyaga Mwanataaluma full kuboa tu
Na jamaa anajitahidi sana kuongea kiswahili fasahaTuache masiala wakuu! Nani alisha wahi kumsikiliza NASH MC akihojiwa? Yawezekana wengi hammjui huyu jamaa. Ila nafikiri ndiye msanii anayefanya vizuri kwenye mahojiano na hakuna wa kumkaribia hapo. Mfano mzuri tafuteni mahojiano kati ya NASH, GODZILA na NIKKI WA PILI
Then muanzie hapo
ebu tafuteni interview za WAKAZI....nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d