Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

G
nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d
Gigy money
 
jameni umemsahau kiboko yao, anajieleza vizuri sanaaaaaaaaaa
 
Kwa Daimond Umeharibu, alimtukana diva kwe show ya xxl sasa hapa anakujaje.
 
Nilidhani ni mimi peke yangu hadi nikawa nahisi labda namwonea wivu.
Lakini in general ananiboa kujifanya anajua kila kitu.
Aisee tuko wengi Mkuu , full kujifanya mzee wa consciousness, mara ye ndo anajua mambo ya future. Yule simsikilizagi kabisaa kwenye interviews
 
Jaman lina nae yupo vzur huwa napenda anavyofunguka hafichifichi
 
T. I. D napenda interview zake anaburudisha sanaaaa jinsi anavyojib maswali.
 
Tuache masiala wakuu! Nani alisha wahi kumsikiliza NASH MC akihojiwa? Yawezekana wengi hammjui huyu jamaa. Ila nafikiri ndiye msanii anayefanya vizuri kwenye mahojiano na hakuna wa kumkaribia hapo. Mfano mzuri tafuteni mahojiano kati ya NASH, GODZILA na NIKKI WA PILI
Then muanzie hapo
Na jamaa anajitahidi sana kuongea kiswahili fasaha
 
Jackline wolper, napendaga akiwa kwenye interview anajitahidi kuongea ukweli sio kama kiandunje, kinakana hakina bwana kesho yake kinafiwa na bwana
 
Kwa maoni yangu hapo labda ni Fid Q, Barnaba, Ay, Lady JD na Pr. Jay. Ungemweka Jay Mo, Blue ningeshawishika kukubali kidogo
 
nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d
ebu tafuteni interview za WAKAZI....
 
Back
Top Bottom