Wasanii wanaojua mziki lakini hawapati promo ya kutosha..

Hata huku kwenye social media sio kwepesi hivyo..unadhan hawa akina foby hawapo insta, youtube na fb?
Wakati mwingine huwa naamini ni suala la muda tu..muda ukifika mtu atatoboa tu kikubwa ni kuendelea kufanya kazi nzuri...
 
Huyo jamaa anaitwa Nasry...mkali sana huyo jamaa...
Kuna siku nikawaza ile NINI angeimba Kiba au Diamond ingekuwa kubwa kiasi gani??

uliwaza vizuri... ingekua kubwa sanaaa... good music wabongo hawazimikii sana... ndio maana hadi kina navy kenzo na maua sama wameamua kuimba ush*nzi na kweli wame hit..
 
Kuna jamaa anaitwa sajophin cjui km bado anaimba
Ananyimbo inaitwa lucky number yupo na Godzilla ni hatar
 
"unaniletea zawadi toka majuu,
kuna wenzio niliwaacha na walinichora tattoo, hatari san
Kuna njia kama laki za wewe kufa/

yani ni mfano wa ajali au maradhi au ngoma baada ya ufuska/

sumu bahat mbaya au sumu makuudi

siamini njia za ndugu braza chunga/
sometimez naenda chuga/

napita njia za tanga na nnakwama moshi,nagundua njia n majanga,njia na panga, aliejuu anapanga zaid/

ye alipanga tangu juzi me napanga saiz/
 
Harmorapa
 
Huwezi kupewa promo bila ya pesa..wadau wajitokeze kuwashika mkono wasanii
 
Hata huku kwenye social media sio kwepesi hivyo..unadhan hawa akina foby hawapo insta, youtube na fb?
Wakati mwingine huwa naamini ni suala la muda tu..muda ukifika mtu atatoboa tu kikubwa ni kuendelea kufanya kazi nzuri...
Kama ulisoma nilichokiandika kuna na kunielewa kuna sehemu niliandika kuwa.

"hao wanamuziki watafute strategy nzuri ya kufanya promo kwenye social network"

Kwa hiyo swala si tu kuwa na social netwoks account swala unatumia vp (strategy) kuipa promo kazi zako.
 
Mkuu unafikiri strategy gani inaweza saidia kupush kazi ya msanii husika...
 
uliwaza vizuri... ingekua kubwa sanaaa... good music wabongo hawazimikii sana... ndio maana hadi kina navy kenzo na maua sama wameamua kuimba ush*nzi na kweli wame hit..
Nasry kapotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…