Wasanii wanaojua mziki lakini hawapati promo ya kutosha..

Wasanii wanaojua mziki lakini hawapati promo ya kutosha..

Unaposema promo unamaanisha nyimbo kupigwa kwenye radio na tv?

Kama ni hivyo basi hao wasanii uliowataja naona wamezubaa wenyewe tu, social media ndio njia sahihi ya kufanya promo kuliko radio na tv kwa sasa.

Si unaona jinsi mobeto anavyofanyiwa promo na mange mpaka video kuwa #1 on trending kwenye youtube? Au WCB.

So washauri hao wanamuziki watafute strategy nzuri ya kufanya promo kwenye social network na sio radio na tv.
Hata huku kwenye social media sio kwepesi hivyo..unadhan hawa akina foby hawapo insta, youtube na fb?
Wakati mwingine huwa naamini ni suala la muda tu..muda ukifika mtu atatoboa tu kikubwa ni kuendelea kufanya kazi nzuri...
 
Huyo jamaa anaitwa Nasry...mkali sana huyo jamaa...
Kuna siku nikawaza ile NINI angeimba Kiba au Diamond ingekuwa kubwa kiasi gani??

uliwaza vizuri... ingekua kubwa sanaaa... good music wabongo hawazimikii sana... ndio maana hadi kina navy kenzo na maua sama wameamua kuimba ush*nzi na kweli wame hit..
 
Kuna jamaa anaitwa sajophin cjui km bado anaimba
Ananyimbo inaitwa lucky number yupo na Godzilla ni hatar
 
"unaniletea zawadi toka majuu,
kuna wenzio niliwaacha na walinichora tattoo, hatari san
Kuna njia kama laki za wewe kufa/

yani ni mfano wa ajali au maradhi au ngoma baada ya ufuska/

sumu bahat mbaya au sumu makuudi

siamini njia za ndugu braza chunga/
sometimez naenda chuga/

napita njia za tanga na nnakwama moshi,nagundua njia n majanga,njia na panga, aliejuu anapanga zaid/

ye alipanga tangu juzi me napanga saiz/
 
Foby...
Huyu jamaa ana ngoma kali.. yaani zotee ni konki ukiongeza na hii ya juzikati "niokoe "..sema jamaa hapewi promo kubwa..

Ibrahnation....
Huyu jamaa katika watu ambao hawana bahati ni huyu mchizi ila siku hizi ameanza kueleweka na pia wasafi Festival atakuwepo..

nedy music...
huyu mpemba anakuwaga yupo yupo tuu ila jamaa yuko vizuri sanaa yaani konki.. tatizo promo tuu..ile ngoma "nishalewa "Ilibidi iwe wimbo wa taifa sema ndo hivyo yaani...

The mafik....
Katika makundi yaliyopo sasa hivi.. huwezi kuwaacha the mafik.. jamaa wana hits kibao.. Kama dodo. Carola, passenger.. na zingine kibwena yaani.. ila ni promo tuu

Wengine ongezeeni..
Harmorapa
 
Huwezi kupewa promo bila ya pesa..wadau wajitokeze kuwashika mkono wasanii
 
Hata huku kwenye social media sio kwepesi hivyo..unadhan hawa akina foby hawapo insta, youtube na fb?
Wakati mwingine huwa naamini ni suala la muda tu..muda ukifika mtu atatoboa tu kikubwa ni kuendelea kufanya kazi nzuri...
Kama ulisoma nilichokiandika kuna na kunielewa kuna sehemu niliandika kuwa.

"hao wanamuziki watafute strategy nzuri ya kufanya promo kwenye social network"

Kwa hiyo swala si tu kuwa na social netwoks account swala unatumia vp (strategy) kuipa promo kazi zako.
 
Mkuu unafikiri strategy gani inaweza saidia kupush kazi ya msanii husika...
 
uliwaza vizuri... ingekua kubwa sanaaa... good music wabongo hawazimikii sana... ndio maana hadi kina navy kenzo na maua sama wameamua kuimba ush*nzi na kweli wame hit..
Nasry kapotelea wapi?
 
Back
Top Bottom