Wasanii wanaoongoza kuzitambulisha sehemu walikotoka/wanakoishi

Kasim Mganga = Manza bay
 
#1.
"Hata Patcho pia ni Mwamba
Ila bado anakata mauno,
Kaskazini bila #TANGA
Ni Msondo bila Gurumo.

#2.
"Iwe kwa RAHALEO au Simba_Mtoto #TANGA_MTAKUJA",

#3.
" #TANGA Mmekosa nini
Hebu acheni umwinyi,
Hawa Wachaga Hawatuwezi
Ona Mankabala20"

#4.
"Akifa anaomba azikwe #TANGA na Mje kwa Shambalai",

#5.
" Bandari Chali,
Railway Chanu
Makamba iinue Katani,
Zitto akirogea Kasulu,
Si tunamrogea #PANGANI(TANGA).

#6.
#TANGA_MIKONO Juu,
U KNOW #TANGA IZ MA' HOOD ...."

#7.
"Kutabiri nani ashinde
Karibuni #TANGA_KUNANI
Huku hatuhitaji Kakakuona
Wala Pweza wa Ujerumani!"

_______________________
HIZO NI BAADHI TU YA QUOTATIONS ZA
#R.O.M.A
ANAVYOIPROMOTI #TANGA,
KUTOANZA NA HUYU JAMAA KWENYE ORODHA YAKO INADHIRISHA HAUKO MAKINI NA UNACHOKIWASILISHA!
 
Linex- kigoma/kiha. Mwingine ni huyu Fredinho kila wimbo akiimba lazima ataje Dubai.
Kweli kabisa mkuu yaani @Linex hajawahi kuimba wimbo bila kutumia lugha yao ya asili huwa ninamkubali sana huyu dogo kwa tungo zake na jinsi anavyoienzi vizuri Kigoma yao.
 
Kweli kabisa mkuu yaani @Linex hajawahi kuimba wimbo bila kutumia lugha yao ya asili huwa ninamkubali sana huyu dogo kwa tungo zake na jinsi anavyoienzi vizuri Kigoma yao.

Dah yani huyu jamaa najua wimbo wake mmoja tu...Salima
 
Dah yani huyu jamaa najua wimbo wake mmoja tu...Salima
Kwa sababu aliimba na baba Tifa nini?
ila ana ngoma kali sana huyu kijana kuna moja ya kuitwa Ngekewa ,halafu kuna ile ya kuitwa subira
Nikiwa stressed huwa napenda sana kuzisikiliza hizo nyimbo zake.
 
Kwa sababu aliimba na baba Tifa nini?
ila ana ngoma kali sana huyu kijana kuna moja ya kuitwa Ngekewa ,halafu kuna ile ya kuitwa subira
Nikiwa stressed huwa napenda sana kuzisikiliza hizo nyimbo zake.

Ngoja nizitafute
 
sasa unamuachaje shilole wa igunga
 
wakazi...stakishari ukonga ....jamaa naye anajitahidi
 
.....Joooooooos Mtambooooo;mtoto wa Kigambooo-nino!
...Banza Stone(R.I.P)-Sinza kwa Wajanja!
 
shilole & diamond kwa sasa wametisha sana
 
Kila wimbo wake lzm atupie na kilugha chake-Linex
 
Hivi hakuna muwakilishi wa MOSHI?
Moshi alikuwepo yule wa Chuwa alikuwepo,Mushi alikuwepo,Tesha nae alikuwepo,ni jinsi gani tutawini maishani,mpaka siku tunasema buriani,Hata sijui alipotelea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…