Wasanii wanaoongoza kuzitambulisha sehemu walikotoka/wanakoishi

Wasanii wanaoongoza kuzitambulisha sehemu walikotoka/wanakoishi

Sugu anaiwakilisha Mbeya mpaka bungeni umemsahau vipi?
 
Ilala kwa Chid Beenz
Kariakoo kwa Dully Sykes
Manzese kwa Madee
 
profesa jay mwanalizombe, marehem kapten john komba na sheta songea
 
-Daraja mbili ngarero hatuhitaji masororo.
-Sinoni Daraja mbili.
 
yupo ibra nation,ila Giz mabovu ndo alikuwa anawakilishA VEMA
labda huyu rip mabovu ila huyo ibra yupo huku dar sijui kama atamaintain game nae ajawah kuutaj mkoa wake ngoja niimbe mimi niwakilishe
 
Back
Top Bottom