Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafel wewenadhani umemwona na hyo wa kwny profile yangu Ngosha Ze don.. Mc anayewasha km upupu..ng'wanamalundi.. hajafuja hajachuja mwite "Mwanza Mwanza"
yupo ibra nation,ila Giz mabovu ndo alikuwa anawakilishA VEMAsisi iringa hatuna wasanii wakina ray c waliwakata hadi ndugu zake
Duuh [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Chid Benz-Sober House Bagamoyo
ah ah ah haya mnyalukolo umetishaMtoto wa mshindo, utafikiriri hajacheza kombolela mitaa ya mshindo
ndo nani watu wengi hawajulikani kitaifaChindo Man anawakalisha Kijenge Juu.
labda huyu rip mabovu ila huyo ibra yupo huku dar sijui kama atamaintain game nae ajawah kuutaj mkoa wake ngoja niimbe mimi niwakilisheyupo ibra nation,ila Giz mabovu ndo alikuwa anawakilishA VEMA