Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
nikisema niache kwaya nitawakimbiza hawa vijana wabongohahaaaaaaaaa utatoboaaaaaaaaa?
''Maadui wapo kimbiji / Na ninja Nimeaga TANGA Nakata Boda La Msumbiji oooii'' - ROMA...#1.
"Hata Patcho pia ni Mwamba
Ila bado anakata mauno,
Kaskazini bila #TANGA
Ni Msondo bila Gurumo.
#2.
"Iwe kwa RAHALEO au Simba_Mtoto #TANGA_MTAKUJA",
#3.
" #TANGA Mmekosa nini
Hebu acheni umwinyi,
Hawa Wachaga Hawatuwezi
Ona Mankabala20"
#4.
"Akifa anaomba azikwe #TANGA na Mje kwa Shambalai",
#5.
" Bandari Chali,
Railway Chanu
Makamba iinue Katani,
Zitto akirogea Kasulu,
Si tunamrogea #PANGANI(TANGA).
#6.
#TANGA_MIKONO Juu,
U KNOW #TANGA IZ MA' HOOD ...."
#7.
"Kutabiri nani ashinde
Karibuni #TANGA_KUNANI
Huku hatuhitaji Kakakuona
Wala Pweza wa Ujerumani!"
_______________________
HIZO NI BAADHI TU YA QUOTATIONS ZA
#R.O.M.A
ANAVYOIPROMOTI #TANGA,
KUTOANZA NA HUYU JAMAA KWENYE ORODHA YAKO INADHIRISHA HAUKO MAKINI NA UNACHOKIWASILISHA!
#1.
"Hata Patcho pia ni Mwamba
Ila bado anakata mauno,
Kaskazini bila #TANGA
Ni Msondo bila Gurumo.
#2.
"Iwe kwa RAHALEO au Simba_Mtoto #TANGA_MTAKUJA",
#3.
" #TANGA Mmekosa nini
Hebu acheni umwinyi,
Hawa Wachaga Hawatuwezi
Ona Mankabala20"
#4.
"Akifa anaomba azikwe #TANGA na Mje kwa Shambalai",
#5.
" Bandari Chali,
Railway Chanu
Makamba iinue Katani,
Zitto akirogea Kasulu,
Si tunamrogea #PANGANI(TANGA).
#6.
#TANGA_MIKONO Juu,
U KNOW #TANGA IZ MA' HOOD ...."
#7.
"Kutabiri nani ashinde
Karibuni #TANGA_KUNANI
Huku hatuhitaji Kakakuona
Wala Pweza wa Ujerumani!"
_______________________
HIZO NI BAADHI TU YA QUOTATIONS ZA
#R.O.M.A
ANAVYOIPROMOTI #TANGA,
KUTOANZA NA HUYU JAMAA KWENYE ORODHA YAKO INADHIRISHA HAUKO MAKINI NA UNACHOKIWASILISHA!
.....Joooooooos Mtambooooo;mtoto wa Kigambooo-nino!
...Banza Stone(R.I.P)-Sinza kwa Wajanja!
Unaumwa wewe!!Mkuu nimewataja waliokuwa na impact na kuzifanya sehemu zao kuwa maarufu....Huyo Roma ana fan base ndogo sana kiasi kwamba hata hicho ulichokiandika wengi wa wasomaji hapa ndio kwanza wamekijua hapa kwako....So anaweza kutaja wimbo mzima Tanga, Tanga, Tanga na bado ikawa haina impact.........
mwisho wa reli ndo mpango woteKigomaaaaaa vipiiiii??
.....duh...mbona kafariki kitambo sana...mwaka ushapita!Eeh hivi banza alishafariki!?
Imekuwa mara nyingi watu wa jamii fulani wakijisifia pale mtu kutoka jamii yao anapokuwa maarufu kwa usanii au mengineyo....But sio wasanii wote walioweza kuzitambulisha sehemu wanazotoka....Wapo waliozitambulisha sehemu/Mitaa wanayoishi na wapo wale waliotambulisha sehemu walikozaliwa....Kwa haraka haraka wasanii ninaowakumbuka waliotambulisha sana maeneo yao ni hawa...
1. Juma Nature na Wanaume TMK - Temeke
Hawa jamaa walifanya temeke ijulikane Tanzania nzima...Kiasi watu wengi wa mikoani waliifahamu Temeke huku wengine wakiwa hata hawajui wilaya za mikoa yao....Jamaa waliwakilisha sana Temeke...
2. Crazy GK na East Coast - Upanga
Hawa nao walijitahidi kuitambulisha Upanga. Japo hawakufikia level ya TMK...Na watu wazima wenangu watakuwa wanakumbuka ushindani uliokuwepo baina ya makundi haya mawili...
3. Diamond Platnumz - Tandale
Dah jamaa kaiwakilisha sana Tandale...Mpaka nje ya Tanzania wanaijua Tandale... Baadhi ya wakenya huko wanadhani Tandale ni bonge la sehemuuuu........
4. Mangwea na Chamber Squad - Dom
Jamaa hawa nao waliipaisha Dodoma kimtindo...
5. Shilole - Igunga
Bibie naye hayupo nyumba kuiwakilisha Igunga..Huenda akizidisha vituko Igunga itakuwa maarufu sana siku zijazo....
6. Joh Makini na Weusi - A-town
Haya machalii ya Arusha nayo yanawakilisha vema pande zile....A-town imekuwa ikitrend sana haswa kama mji wa hip hop flani hivi....Wanajitahidi
7. Wagosi wa Kaya - Tanga
Wimbo maarufu wa Tanga kunani na lafudhi zao ziliifanya Tanga pia kujulikana kuwa kuna wasanii...Sijui siku hizi wapo wapi hawa jamaa....Huenda muda umewatupa mkono
8. Afande Sele na Stamina Sharo Bweeenz - Moro
Jamaa nae wameiwakilisha sana Moro town...
9. Fid Q aka Ngosha - Mwanza
Dah huyu jamaa sijui nilimsahau vipi....Ameweza sana
Kwa haraka haraka nnaowakumbuka ni hao...Wewe unadhani ni nani amewakilisha kitaa chake/ home town yake vya kutosha na kuifanya ikajulikana ....Karibuni
''Maadui wapo kimbiji / Na ninja Nimeaga TANGA Nakata Boda La Msumbiji oooii'' - ROMA...
NIMESHANGAA JAMAA ALIVYOMSAHAU NINJA... Yaani bila kumpataja Roma huu uzi ni pointless
Mkuu nimewataja waliokuwa na impact na kuzifanya sehemu zao kuwa maarufu....Huyo Roma ana fan base ndogo sana kiasi kwamba hata hicho ulichokiandika wengi wa wasomaji hapa ndio kwanza wamekijua hapa kwako....So anaweza kutaja wimbo mzima Tanga, Tanga, Tanga na bado ikawa haina impact.........
Huo mstari unatoka kwenye ngoma gani?#8.
"NIMEKUNYWA MAJI YA BENDERA,
MGONGONI NAIBEBA #TANGA."
R.O.M.A TENA.
Unaumwa wewe!!