Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Heshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka.
Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer au vyote vinaweza kufanya hiyo kazi...?
Naomba mwenye kuelewa hii kitu anieleweshe wadau najua JF haijawahi kuishiwa katika nyanja tofauti haswa Technology wakuu.
NAWASILISHA.