Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kama huna uzoefu na pc tumia powerpoint ni rahisiHeshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka...
Feature husika inaitwa morph
Powerpoint ya office 365 ni nzuri zaidi