Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Kazi za watu hizo unauliza ujibiwe kirahisi tu ? Lipia watu wakufanyie hata hao wasanii wanawekewaHeshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka...
Kazi za watu hizo unauliza ujibiwe kirahisi tu ? Lipia watu wakufanyie hata hao wasanii wanawekewa
Tatizo wakali wanaoweza kukujibu siku hizi hawapo jfm, ukweli miaka ya nyuma tulienjoy sana ulikuwa unauzo wa kuuliza swali linalohusiana na maswala ya kitecnology na ukajibiwa zaidi ya kugoogle lakini siku hizi wamejaa wabun CD tu, ma IT wa kweli washapoteaMkuu, kuna wakali hapa JF hawana njaa ndogo ndogo kama hizo na nakuhakikishia wapo wadau wataweka maelekezo juu ya hili ni suala la muda tu...
Tatizo wakali wanaoweza kukujibu siku hizi hawapo jfm, ukweli miaka ya nyuma tulienjoy sana ulikuwa unauzo wa kuuliza swali linalohusiana na maswala ya kitecnology na ukajibiwa zaidi ya kugoogle lakini siku hizi wamejaa wabun CD tu, ma IT wa kweli washapotea
Sio wasanii bali ni ma dj ndo wanafanya hiyo kazi
Chukua hata simu yako,padua hii app harafu twende wote sasaView attachment 2057479
HapanaUna idea japo kidogo jinsi wanavyofanya mkuu...?
Njoo imbwebwena Kijiji Cha ujamaaHeshima kwenu wakuu.
Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka...
Njoo imbwebwena Kijiji Cha ujamaa
Kiongozi naona umekuwa kimya kaka, ulisema nipakue hii app lakini hata app yenyewe hujaitaja mkuu.Chukua hata simu yako,padua hii app harafu twende wote sasaView attachment 2057479