Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

Heshima kwenu wakuu.

Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka...
Kama huna uzoefu na pc tumia powerpoint ni rahisi

Feature husika inaitwa morph

Powerpoint ya office 365 ni nzuri zaidi
 
Kama huna uzoefu na pc tumia powerpoint ni rahisi

Feature husika inaitwa morph

Powerpoint ya office 365 ni nzuri zaidi

Mkuu chief hii naweza kuifanyia hata kwa kutumia PPT ya kwenye simu mkuu...?
 
Ukiwa na Aveeplayer+Kinemaster+PicsArt+Pixel lab+your talent ya kubuni na kupangilia kitu kwenye simu, ni kazi rahisi mno
 
Ukiwa na Aveeplayer+Kinemaster+PicsArt+Pixel lab+your talent ya kubuni na kupangilia kitu kwenye simu, ni kazi rahisi mno

Sijaelewa vizuri kiongozi ni kwamba unahitaji kuwa na hizo program zote au ni moja kati ya hizo programs mkuu...?
 
Heshima kwenu wakuu.

Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka...
hata simu inaweza Washa mziki kwa player unayoona inaweza kuweka picha kama ya CD,,,, washa screen recorder acha nyimbo iimbe hadi mwisho.. stopisha sreen record chukua hiyo video nenda nayo hata inshot alafu crop size unayotaka. Toa sauti ya video weka audio yenye quality save kazi imekamilika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Virtual Dj
 
Hahaha eti wabun CD tu[emoji3].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…