Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

Mashairi ya Skide kuntu sana lazima ucheke tatizo mibange na mipombe inamuharibu
 
S Kide Mtoto wa Mama Shamte...
 
Hivi unaanzaje kumkumbuka mtu kama Lord Eyes halafu ukawasahau Afande Sele, Solo Thang na Jay-Mo? You're not serious kabisa
 
No.8,13,16 utatumia nguvu sana kunishawishi

List yako haina
Mbaraka Mwinshehe????????
Marijani Rajab??????
Haina Ngurumo????, nguza viking?
Haina Hemed manet?

Utalaaniwa na wazazi wako
 
Nimeipenda,ila Fid Q ungempa namba mbili,Mwana FA namba tatu,halafu wengine wafuatie.
 
Ushaniona wa kishua fulani siyo wakina S Kide na Msaga Sumu siwezi kuwajua?

Ukiniona ngoma ya kumtoa mwali Chanika nacheza ngoma kama mjomba, halafu ukaambiwa yule ndiye Kiranga, huwezi kuamini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah mi nakuona kishua sana plus ma-knowledge uko nayo naona ni ardhi na mbingu kujua hizi mambo. umewazidi baba zangu akina nshomile.
Tatizo mkuu Kiranga PM unakula buyu kupata ushauri kutoka kwako mambo kadhaa.
 
Nakwenda na mazingira. Ukinikuta Maneromango utashangaa.

PM niko poa, ila PM nyingi sana.

Nitakucheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa kama mashairi unamuachaje 20 per, asilimaire, twenti pasenti, alwatan 20%
Alipendwa kwa wakubwa na wadogo, kila kinu alichotoa ilikuwa mshiki mshike.
Huyu mwamba baada ya tuzo zake tano za kili akapotelea Moro mazima.
 
Sio Moro, alirudi kwao Kimanzichana.
 
kaka bangi unaisingizia hapo mbona wengi tunavuta na hatuna mawenge ya uhuni, Ganja ni kama silaha inatumika kulinda na pia inatumika kuvamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…