Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

Msanii hapo ni Prof jay Tu, akifuatiwa na Remy Ongala , hao ndo legends...
Professor J ni wa kulinganisha na remmy?
Hafiki hata robo ya remmy ongala.

Remmy anapiga gitaa huku akiimba nyimbo zenye ujumbe mzuri na hisia Kali kabisa.

Professor J anapiga chombo gani ktk mziki?
 
Hyo top 20 yako bila
mbaraka mwishehe,
Salumu abdala.
Ahmed kipande .
Marijan Rajab.
Bitchuka.
Jerry nation dudumizi.
Maneti.

Ni top 20 ya hovyo.
 
Back
Top Bottom