Wasanii wazuri kwenye "the art of story telling" kibongo bongo

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,229
Hope mko poa tuendelee kudadavua..

Ingawa wengi tumezoea kuona story teller wengi ni wafanyaji wa miondoko ya kufoka (hip hop) hasa kule USA, na hata hapa Bongo kuna watu walijaribu kuifanya sanaa hii lakini hawakuwa na consistency.

Mfano mtu kama JAY MOE alikuja vyema na vibao kama STORY 3 na MAISHA YA BOARDING ambazo zilikuwa ni pure story telling rap songs.

Toka hapo kwa kweli cheo hicho nampa ALI KIBA ambaye nyimbo zake karibu zote ni story telling in short He is the best storyteller of all time kwa hapa Bongo.

Fuatilia nyimbo zifuatazo utaelewa

- MACMUGA
- YA KARIM
- DUSHELELE
- USINISEME
- MY EVERYTHING

Na nyinginezo dondosha, story teller wako mkali.

Karibuni.
 
Yaani best story telling song iwe Usiniseme kama napenda kula mayai? Kweli?? Are you kidding or something??..Kwa hiyo wakati Niga jay anatoa chemsha bongo na zali la mentali wewe ulikua hujazaliwa au hujaja mjini? ..
ndiyo maana nimesema ongezea Msanii wako tukumbushane vinginevyo kulikua hakuna haja ya kuwepo Uzi huu, pili Kama Una kataa hiyo nyimbo siyo story telling , then you know nothing about the art of story telling au Una ushabiki maandazi
 
ChizzoDrama, Kosa lako kumtaja Kiba tu basi wala watu hawana tabu na point yako ungewatajia yule mwengine ndio bwana wao kuanzia wa kike hadi wa kiume!
 
ndiyo maana nimesema ongezea Msanii wako tukumbushane vinginevyo kulikua hakuna haja ya kuwepo Uzi huu, pili Kama Una kataa hiyo nyimbo siyo story telling , then you know nothing about the art of story telling au Una ushabiki maandazi
Labda Mkuu ulikua hujazaliwa hiyo dushelele na everything kuna simulizi gani?at least macmuga.profesa Jay nenda kasikilize kama ulipoambia na Mkuu hapo juu nyimbo zake ndio mzee,sio mzee nang'atuka,usinitenge,zali la mentali na zingine kibao.rudi kwa Jay more a.k.a Moe Tech,Moe flava stori tatu humo kamwaga madini ya watoto wa kishua walivyozingua,maisha ya boarding,jua na mvua,sogy dogy sikiliza history,alikufa kwa ngoma ya mwanafalsafa,Kisa demu,mzee wa Busara(huyu mzee alikua mwamba sikiliza remix na inspector Haroon akiwemo)iddy,Inaniuma sana zote hizo Msitu wa vina Juma Nature yupo,starehe ya ferouz,maliza na mikasi na mida ya mibovu ya Albert Mangwea.
 
1. Prof J ft Ferooz sikumbuki jina lanyimbo
2. Mwana Fa hakuonekana anabinti
3. Soggy Dog hii story
4. Mandojo na domokaya
5. Mh Temba side mnyamwenzi nk
6. Crazy gk sauti ya manka
Wako wengi sema saiz game imebadilika na utungazi wa mashairi umebadilika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…