ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Hope mko poa tuendelee kudadavua..
Ingawa wengi tumezoea kuona story teller wengi ni wafanyaji wa miondoko ya kufoka (hip hop) hasa kule USA, na hata hapa Bongo kuna watu walijaribu kuifanya sanaa hii lakini hawakuwa na consistency.
Mfano mtu kama JAY MOE alikuja vyema na vibao kama STORY 3 na MAISHA YA BOARDING ambazo zilikuwa ni pure story telling rap songs.
Toka hapo kwa kweli cheo hicho nampa ALI KIBA ambaye nyimbo zake karibu zote ni story telling in short He is the best storyteller of all time kwa hapa Bongo.
Fuatilia nyimbo zifuatazo utaelewa
- MACMUGA
- YA KARIM
- DUSHELELE
- USINISEME
- MY EVERYTHING
Na nyinginezo dondosha, story teller wako mkali.
Karibuni.