Wasanii wazuri kwenye "the art of story telling" kibongo bongo

Huyo Temba mpaka leo anapiga hizo ngoma najua ngoma yake ya "mtaalam wa dar" kaitoa juzijuzi tu yani kiufupi mi ngoma hizi za storytelling yani nazipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vzuri nimeandika story telling ilizoeleka sana kwa wana hiphop lakini hapa kwetu kiba ndo anaifanya to the fullest mkuu.
Tatizo lipo hapo kwenye of all time!!...yaani wa muda wote!!?...una umri gani mkuu!!?....usije kuwa umezaliwa 2005!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…