Wasanii wengi wa Kinondoni na Ilala haka kamchezo kwanini kamewanogea sana?

Tamaa ya kupenda starehe na anasa bila kujali kiasi kilichopo Mfukoni/Mkononi mwako, ndio chanzo kikubwa cha laana yote...!

Vijana wa Ilala na Kinondoni wanapenda vizuri na vya gharama, bila kutoka/kuvuja Jasho...!

Wacha wachanwe Marinda tu..

Vijana TMK tutakufa na Shida zetu.
 
Watoto wa temeke wakisema wanaenda mjini ni lazima waende ilala au kinondoni hata hao mashoga hutoka temeke na kuja kujiuza kinondoni.
 
Hahahah naona vita mpya kati ya tmk na wale wa iki (ilala kinondoni)
 
Mtoto wa kiume anayependa maisha mazuri alafu hataki kufanya kazi kwa bidii lazima yamkumbe haya!Alafu siku hizi hayana hofu yanafanya waziwazi ptuu.
 
We ni mwalimu wa somo gani hapo shuleni?
 
Aisee naona vita ya wanaume wa Dar dhidi ya wanaume wa mikoani ipo halftime sasa inaanza Dar Derby ya wanaume wa Temeke dhidi ya wanaume wa Ilala na Kinondoni.Ngoja nikae pembeni sisi wa Bonyokwa haituhusu hii vita.
 
Hata mkuu wa mkoa si anakaa hukohuko, we angalia Wowowo la lilivyo siku hizi. Kinondoni sijui vipi!!
 
Ndia maana wanaakili ndogo
We unadhan wamewafikisha wapi hao
C ndo maana ni wilaya maskini sana mpaka sahv. Wajingawajinga na wavuta bangi wengi uko
Ata uku kwetu tumemchagua Kubenea haonekani aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…