Wasanii wengi wa Kinondoni na Ilala haka kamchezo kwanini kamewanogea sana?

Wasanii wengi wa Kinondoni na Ilala haka kamchezo kwanini kamewanogea sana?

333308
Uyo mwenye tisheti nyeusi ni member wa humu JF kabisa
 
Tamaa ya kupenda starehe na anasa bila kujali kiasi kilichopo Mfukoni/Mkononi mwako, ndio chanzo kikubwa cha laana yote...!

Vijana wa Ilala na Kinondoni wanapenda vizuri na vya gharama, bila kutoka/kuvuja Jasho...!

Wacha wachanwe Marinda tu..

Vijana TMK tutakufa na Shida zetu.
 
Watoto wa temeke wakisema wanaenda mjini ni lazima waende ilala au kinondoni hata hao mashoga hutoka temeke na kuja kujiuza kinondoni.
 
Tamaa ya kupenda starehe na anasa bila kujali kiasi kilichopo Mfukoni/Mkononi mwako, ndio chanzo kikubwa cha laana yote...!

Vijana wa Ilala na Kinondoni wanapenda vizuri na vya gharama, bila kutoka/kuvuja Jasho...!

Wacha wachanwe Marinda tu..

Vijana TMK tutakufa na Shida zetu.
Hahahah naona vita mpya kati ya tmk na wale wa iki (ilala kinondoni)
 
Mtoto wa kiume anayependa maisha mazuri alafu hataki kufanya kazi kwa bidii lazima yamkumbe haya!Alafu siku hizi hayana hofu yanafanya waziwazi ptuu.
 
Ushahidi wako ni wakuona, kuambiwa, kushiriki au kushirikishwa?
Kama ni wa kuona tupia kapicha au angalau sema uliwaona kina nani wakifanya nini!
Kama ni wa kuambiwa aliyekuambia mwambie akamwambie afande mambosasa au siiro!
Kama ulishiriki eleza kipengele cha ushiriki wako kama muhusika.
Kama ulishirikishwa basi tutajie aliyekushawishi ukashirikishwaje na kisha baada ya tukio ulijisikiaje!?

Nini ushauri wako kwa jamii.
We ni mwalimu wa somo gani hapo shuleni?
 
Aisee naona vita ya wanaume wa Dar dhidi ya wanaume wa mikoani ipo halftime sasa inaanza Dar Derby ya wanaume wa Temeke dhidi ya wanaume wa Ilala na Kinondoni.Ngoja nikae pembeni sisi wa Bonyokwa haituhusu hii vita.
 
Hata mkuu wa mkoa si anakaa hukohuko, we angalia Wowowo la lilivyo siku hizi. Kinondoni sijui vipi!!
 
Mkoa wa Dar es salaam, vuguvugu la vyama vingi lilitokea Temeke. Kama hiyo hutaki, miaka 21 iliyopita, wakazi wa Temeke walichagua mbunge kutoka chama cha upinzani kipindi hiyo huko kwenu bado wanavaa magwanda ya kijani mnaimba vyama vingi vitaleta vita.
Ndia maana wanaakili ndogo
We unadhan wamewafikisha wapi hao
C ndo maana ni wilaya maskini sana mpaka sahv. Wajingawajinga na wavuta bangi wengi uko
Ata uku kwetu tumemchagua Kubenea haonekani aliko
 
Back
Top Bottom