Wasanii wetu na mtego wa tuzo za kimataifa

Eboooo mbona lawama namna hii kama mawifi.

Alisema hataki tuzo mkalalama humu.

Oke amekubali kushiriki kwenye tuzo na kujaza fomu mmekuja tena kulalama humu...ebooooo
 
Povu la nini ulitaka hata tuzo la chipukizi apewe wizkid? Mh mbona wizkid alipewa tuzo kwa nafasi yake tecno nae alipewa kwa wimbo wa mwaka duro we ulitaka kila kitu wapewe wao, akili zako unazijua mwenyewe
 
Sijamzungumzia Kiba nimezunguamzia tuzo na wasanii wetu wote.

Kama unaamini Kiba anakubalika sana Naija mpaka kupewa tuzo huko its ok.
 
Sema msanio wako ndo haitwi kwenye show...hujaona show za diamond..mayote..malawi..marekan..austria na canada? Au roho mbaya tu
Lakini haiwezi kuwa sawa na Wizkid akija bongo au? Ila afadhali ya Diamond amepiga hatua fulani kiasi.
 
unasikiliza station zipi za nje ukakuta nyimbo zetu hazipigwi?
Nimeskiza nyingi tu za nje ya east africa siskii nyimbo zetu. Zinasikika chache mno kwa wasanii kama wawili au watatu. Tofaut na muziki wa South Africa, Nigeria au Congo.
 
Nimeskiza nyingi tu za nje ya east africa siskii nyimbo zetu. Zinasikika chache mno kwa wasanii kama wawili au watatu. Tofaut na muziki wa South Africa, Nigeria au Congo.
Na ndio hao wachache unaowasikia ndio wanapata tuzo! Angepata ambaye hasikiki nafikiri ndio ingekuwa sahihi kihoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…