Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala.
Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo!
Nashawishika kuamini hii inatoka na kazi yao kutaka kuwaridhisha mashabiki wao ambao wapo pande zote za Imani!
Sasa sijui wataendelea hivi mpaka mwisho au uzeeni watarudi kwenye Imani za mioyo yao!!?