uimbaji wenyewe CD ya nyimbo yake inawekwa yeye anapiga kelele mikono juu.Nyimbo inaimba ya kwenye cd.Yeye kazi yake ni kushika sehemu za siri kwenye suruali
kwa uimbaji huo unataka alipwe ngap?
Hata kama siijui lakini huo ni udaku wa kwenye magazeti ya gpl. Usilete habari za kwenye vijiwe vya kahawa hapa jf ukafikiri kila mtu atakubaliana na huo upuuzi wako.
Wabongo tuna kawaida ya kupiga majungu kila penye mafanikio ya watu.
clouds wanakula 2 billions from Serengeti..laki tano show moja! si haba jamani kwa kipato cha tanzania aah waache walipwe hao serengeti hatujui wanalipanaje na clouds ninadhani sio pabaya kupewa kiasi hicho.
Laki 5 kwa Show moja au Zote hizo wanazozunguka? Kama kwa moja sio mbaya maana nimeona kina Young kila wamepiga show zote za fiesta kama show 15 ana 7.5m hapo.