Wasanii wote wanaoshiriki Fiesta wanalipwa laki tano kila mmoja

Wasanii wote wanaoshiriki Fiesta wanalipwa laki tano kila mmoja

uimbaji wenyewe CD ya nyimbo yake inawekwa yeye anapiga kelele mikono juu.Nyimbo inaimba ya kwenye cd.Yeye kazi yake ni kushika sehemu za siri kwenye suruali

kwa uimbaji huo unataka alipwe ngap?

hahahaha!!! tena kuna mikoa inapelekwa wasanii ambao washapotea kwenye ramani ya mziki. bora fiesta inasaidia kuwatambulisha kuwa hawajaRIP.
 
Hata kama siijui lakini huo ni udaku wa kwenye magazeti ya gpl. Usilete habari za kwenye vijiwe vya kahawa hapa jf ukafikiri kila mtu atakubaliana na huo upuuzi wako.

Wabongo tuna kawaida ya kupiga majungu kila penye mafanikio ya watu.

Nimekupenda bure Binti, maneno yako kuntu kabisa,yaani wabongo sijui kwa nini hatupendani ,yaani wakiona mwenzao kafanikiwa lazima wamletee unafiki na maneno ya kumkatisha tamaa,kwani hao clousd fm waliwalazimisha hao wasanii kuchukua hizo pesa? kama wanaona hazitoshi si wanatafuta kwengine wanakolipwa poa? na isitoshe hivi kwa wasanii woote wale wanaoperform kwenye fiesta umpe kila mtu milioni moja hiyo hela itatoka wapi? maana kwa usiku mmoja wanapanda wasanii zaidi ya kumi na tano.Wabongo acheni majungu fanyeni kazi .
 
laki tano show moja! si haba jamani kwa kipato cha tanzania aah waache walipwe hao serengeti hatujui wanalipanaje na clouds ninadhani sio pabaya kupewa kiasi hicho.
 
Kuna radio moja nimeanza kusikiliza kama wasanii wa Tanzania wana akili basi watumie fursa hii ya vyombo vingine vya burudani badala ya kunyonywa kila siku na wafu, kuna kama radio E fm inashika kwa sasa hizo wafu fm wacha wazikane wenyewe.
 
laki tano show moja! si haba jamani kwa kipato cha tanzania aah waache walipwe hao serengeti hatujui wanalipanaje na clouds ninadhani sio pabaya kupewa kiasi hicho.
clouds wanakula 2 billions from Serengeti..
kumbuka sponsors wanalipia gharama zote za show zote za fiesta plus international artist yuko covered na Serengeti..ndo maana ya sponsorship..hiyo 2 Billion sio gossip ni FACT
 
Laki 5 kwa Show moja au Zote hizo wanazozunguka? Kama kwa moja sio mbaya maana nimeona kina Young kila wamepiga show zote za fiesta kama show 15 ana 7.5m hapo.

Wasanii wa Fiesta wamegawanyika kwa makundi. Kuna wasanii wanaoimba bure kwa ajili ya kulipwa promo. Wengine laki mbili na wengine tatu huku wengine wakilipwa laki tano kwa show moja.
Na malipo yote hufanyika mjengoni Mikocheni, na mara nyingi hulipwa baada ya kufanya show tatu au zaidi. Huko mikoani kwenye show unalipiwa chumba cha kulala na wanamuziki wa daraja la kawaida hupanda basi la pamoja na wa daraja la juu hupelekwa kwa ndege.
Ikumbuke kwamba, kuna baadhi ya wasanii huwa wanaenda kuomba wenyewe kuwemo kwenye tour ya Fiesta kwa ajili ya kama sehemu ya kujitangaza. Kwa kifupi hakuna anayelipwa mapesa mengi kwa ajili ya kuimba kwenye Fiesta.
Ova
 
winnie 227 mengine hatuyajui ahsante kunifahamisha. ndio maana ya great thinker sio wengine kumjuza mtu mpaka atukane.
 
Ndio maana hawa ndugu zetu kama wakitangulia sehemu ya haki hawa clouds wanachukua jukumu la kuchangisha michango ili kuziba mapunjo yao waliyowafanyia pindi walivyokuwa wanawatumia.
 
Kuna v2 haviitaji ata elimu ya darasa la saba kuvielewa, Angalia kwa nini wasanii wanaojielewa hawashiriki hizo fiesta.
 
Back
Top Bottom