Wasemaji Simba, Yanga na Azam punguzeni comed, mnaboa watu wazima

Hapo Comedian ni msemaji wa timu yako ya Simba!! Yaani Ahmed Ally! Hao wengine naona unawasingizia.

Ungeongelea kuhusu tabia kupigana vijembe, ningekubali wote wanahusika.
 
Makeke, tambo, ushereheshaji, comedy na kelele za wasemaji wa timu za Yanga na Simba katika kutoa taarifa na kuhamasisha mashabiki wa timu zao huwa vinasaidiaje timu hizo kiuhalisia?
 
Naunga mkono hoja. Kuna Mambo wanasema au kuandika kwenye akaunti zào unasoma humalizi unaona utoto mwingiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…