Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hapo Comedian ni msemaji wa timu yako ya Simba!! Yaani Ahmed Ally! Hao wengine naona unawasingizia.Uzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!
Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.
Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Ungeongelea kuhusu tabia kupigana vijembe, ningekubali wote wanahusika.