Anacheza na Saikolojia za watanganyila Wapumbavu na Wajinga.
ANACHEZA KETE AKUBALIKE NA MASHABIKI WA TIMU YAKE,IONEKANE KAMA ANAPAMBANA NA YANGA KUMBE ANAKULA MSHAHARA WAKE TU
Kuna Mashabiki wa timu moja ya Tanzania,wanahaha kwenda kuwanga, Kuroga, kupokea na kuwakarimu wageni.
Wanatoa siri za kambi yasimba nk
ILA QUALITY NDIO INAAMUA SIO MATAMKO WALA MBWEBWE.