Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati mwingine kubadilisha mambo na kumlisha maneno Trump na binti anawaumbua kwa kuwapa facts na evidences.
Binti yuko informed kila swali analouliza ana jibu lake na kwa kujiamini. Kama kuna uchaguzi Trump kapatia sana ni kwa haka kabinti aisee.