Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwa siasa za Trump, nyuma ya pazia civil servants hasa diplomats kwa sasa wana kazi kubwa sana ya kutoa maelezo ya uropokaji wake kwenye international relations.
Hawa viongozi wao wa ulinzi uwa wanakutana kwenye joint strategic security meetings. Huko watakuwa wanauliza wenzao wa US how could you let this happen again Trump kuwa raisi (knowing in advance Biden was mentally incapable and Harris wasn’t going to win).
Binafsi nimeudharau usalama wa US, kwa Europę Trump kushinda isingewezekana.