Wasemaji wetu wa Ikulu wana la kujifunza kwa Mwanadada mdogo Karoline Leviatte, msemaji wa White House

Wasemaji wetu wa Ikulu wana la kujifunza kwa Mwanadada mdogo Karoline Leviatte, msemaji wa White House

Na hampendi kwakuwa Trump anapinga ushoga waziwazi.
20250208_082727.jpg
 
Aliniboa sana huyo mdada. Sitaelezea
=====

Sidhani kama kuna lelote lile la kujifunza kutoka kwake. Tulishajifunza mengi kutoka kwa Cyprian Musiba.

Ila kwa kulinganisha tu

Lucas Mwashambwa hua anatoa vitu kama vyake ama nadanganya batanzanie?

Yani huyo dada na Lucas mwashambwa have one thing in common, Uchawa. Respectfully.
 
Najaribu kuimagine ndiyo umeteuliwa wewe kuwa msemaji, kwa hiyo utakuwa kama job unajisemea ya MOYONI mwako badala ya kuyasema ya kwenye script kwamba nchi inapigwa Mnada hii🤣🤣🤣🤣
Hiyo kazi ni ngumu sana kama kusukuma ukuta
 
Vijana wadogo wanaaminiwa kwenye position nyeti, Hawa wanaandaliwa, huku ni vimemo tu.
 
Tz msemaji wa ikulu hata hajulikani 😄
Domo zege

Ova
 
Hakuna shortcut kwenye knowledge, soma topic tofauti kuelewa ipi hoja upi upuuzi.

Haiwezekani hoja za raisi, ambazo dunia inakerekwa nazo, zikatolewa maelezo na msemaji wa Ikulu tena kwa utetezi huyo mtu akawa na akili.
 
hawa jamaa wametuzid sana.so advance. kuna mahal nimeona uwezo wao katika area ambayo sisitupo tupo jmaa wao wapo full material
 
Back
Top Bottom