Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Na hampendi kwakuwa Trump anapinga ushoga waziwazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hampendi kwakuwa Trump anapinga ushoga waziwazi.
Hiyo kazi ni ngumu sana kama kusukuma ukutaNajaribu kuimagine ndiyo umeteuliwa wewe kuwa msemaji, kwa hiyo utakuwa kama job unajisemea ya MOYONI mwako badala ya kuyasema ya kwenye script kwamba nchi inapigwa Mnada hii🤣🤣🤣🤣
Ni ngumu kama huendekezi tumbo vinginevyo naona watu wanaimudu kwelikweliHiyo kazi ni ngumu sana kama kusukuma ukuta
Kwani Kamala alikuwa msemaji wa Ikulu?Simpendi wala kumchukia ila huyu mwanadada anajua kujibu maswali na anajiamini sio kama kilaza Kamala Harris
Kamala alikuwa hajui kujibu maswali kwenye kampeni alikuwa anazunguka zunguka tu ndiyo hoja yanguKwani Kamala alikuwa msemaji wa Ikulu?