Simpendi wala kumchukia ila huyu mwanadada anajua kujibu maswali na anajiamini sio kama kilaza Kamala HarrisWewe unampenda Trump si eti eeeenh?
Kuna shida mkuu?Umpende,umchukie ndiye yeye.Hata mtawala wa Israeli aliamuru watoto kuanzia miaka miwili kushuka chini wauawe kwa hofu ya kuporwa utawala wake lakini ikawa hola.Wewe unampenda Trump si eti eeeenh?
Kama nani?Simpendi wala kumchukia ila huyu mwanadada anajua kujibu maswali na anajiamini sio kama kilaza Kamala Harris
Eti Msigwa nae aliwahi kuwa msemaji wa ikulu..hii nchi hatuko serious kwenye mambo mengiHivi msemaji wa ikulu ni nani?
Utakuwa una miaka sita tangu uzaliwe.Mbn sura yake nikama wanashare umri na mama yangu au wewe nimzee sana kiasi chakumuita binti?
Ameolewa na babu tajiri wa miaka 60Ameolewa?, naona amenona na kuiva kweli kweli!, shavu kama analamba asali mbichi.
Changamoto yako maalim ni kutompenda tajiri Don/the Don himself!Huyo binti hana weledi wowote ni muongo muongo na mtu wa propaganda tu.
Trump AKAOE HAKA KAREMBO ILI KAWE KARIBU KABISA.Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati mwingine kubadilisha mambo na kumlisha maneno Trump na binti anawaumbua kwa kuwapa facts na evidences.
Binti yuko informed kila swali analouliza ana jibu lake na kwa kujiamini. Kama kuna uchaguzi Trump kapatia sana ni kwa haka kabinti aisee.
View attachment 3228705
Hapo Madam Kamala Harris ameingiaje, kwani yeye alikuwa msemaji wa Ikulu au taasisi yoyote huko US?Simpendi wala kumchukia ila huyu mwanadada anajua kujibu maswali na anajiamini sio kama kilaza Kamala Harris
Anajibu maswali kama Bashite.Simpendi wala kumchukia ila huyu mwanadada anajua kujibu maswali na anajiamini sio kama kilaza Kamala Harris
Alikuwa hajibu maswali wakati wa kampeni anazunguka zunguka tu na interview zake ziko edited sana. Jana wameachia unedited interview yake aliyofanya na MSNBCHapo Madam Kamala Harris ameingiaje, kwani yeye alikuwa msemaji wa Ikulu au taasisi yoyote huko US?