Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Wanaokotwa waswahili mtaani kwa kigezo cha dini, ukanda na uchawa, badala ya kuangalia qualification, experience na AgeHivi msemaji wa ikulu ni nani?
Exactly! Na huwa anachambwa sana kwenye mitandao kwa majibu yake ya uwongo uongo, nashangaa huyu anakuja kumsifu huku kwetu kama vile hatufuatilii yanayoendelea.Huyo binti hana weledi wowote ni muongo muongo na mtu wa propaganda tu.
UWT na UVCCM hawana cha kujifunza hapa?Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati mwingine kubadilisha mambo na kumlisha maneno Trump na binti anawaumbua kwa kuwapa facts na evidences.
Binti yuko informed kila swali analouliza ana jibu lake na kwa kujiamini. Kama kuna uchaguzi Trump kapatia sana ni kwa haka kabinti aisee.
View attachment 3228705
Kameolewa?Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati mwingine kubadilisha mambo na kumlisha maneno Trump na binti anawaumbua kwa kuwapa facts na evidences.
Binti yuko informed kila swali analouliza ana jibu lake na kwa kujiamini. Kama kuna uchaguzi Trump kapatia sana ni kwa haka kabinti aisee.
View attachment 3228705
Ndio aina ya usemaji wake huyo, kama Tanzagiza.Nae anasema serikali ya chama imefanya hiki na Trump atafanya hili.?
Wanaomchamba si Democrats ambao usipokubaliana nao basi wewe unakuwa racist, masogynist, na mambo kibao. Binti yuko vizuri wewe Tazama press zake anavyopiga nyundo waandishi wa habari wanaokuja na kujaribu kubadili mambo anavyowarudisha kwenye mstari.Exactly! Na huwa anachambwa sana kwenye mitandao kwa majibu yake ya uwongo uongo, nashangaa huyu anakuja kumsifu huku kwetu kama vile hatufuatilii yanayoendelea.
Hata experience juu ya issues nyingi hana yeye anajibia tu.
Ndilo swali nami nilitaka kuuliza😂Kameolewa?
Hata uwe na akili vipi huwezi kumtetea chura kiziwi wa mchambawima yeye akiamka anawaza nini cha kupiga mnada na kusema watanganyika mnajitekaHuyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati mwingine kubadilisha mambo na kumlisha maneno Trump na binti anawaumbua kwa kuwapa facts na evidences.
Binti yuko informed kila swali analouliza ana jibu lake na kwa kujiamini. Kama kuna uchaguzi Trump kapatia sana ni kwa haka kabinti aisee.
View attachment 3228705
Kulamba asali ni Kula rushwa Mkuu. Sidhani kama kanalamba asali ikulu kangekuwa kameshafurushwa,🤣🤣🤣🤣Ameolewa?, naona amenona na kuiva kweli kweli!, shavu kama analamba asali mbichi.
Kwa hiyo solution hapo ni kujiuzulu kuwa msemaji wake ili ajisemee mwenyewe au siyo?🤣🤣🤣🤣Hata uwe na akili vipi huwezi kumtetea chura kiziwi wa mchambawima yeye akiamka anawaza nini cha kupiga mnada na kusema watanganyika mnajiteka
Mkuu unaelewa Kingereza??Wanaomchamba si Democrats ambao usipokubaliana nao basi wewe unakuwa racist, masogynist, na mambo kibao. Binti yuko vizuri wewe Tazama press zake anavyopiga nyundo waandishi wa habari wanaokuja na kujaribu kubadili mambo anavyowarudisha kwenye mstari.
Hapana unaelewa wewe mkuuMkuu unaelewa Kingereza??
Hapo labda msukule kama lucas mwashamba unao bubujikwa na machozi ndio unaweza hiyo kaziKwa hiyo solution hapo ni kujiuzulu kuwa msemaji wake ili ajisemee mwenyewe au siyo?🤣🤣🤣🤣
Na hampendi kwakuwa Trump anapinga ushoga waziwazi.Changamoto yako maalim ni kutompenda tajiri Don/the Don himself!
Najaribu kuimagine ndiyo umeteuliwa wewe kuwa msemaji, kwa hiyo utakuwa kama job unajisemea ya MOYONI mwako badala ya kuyasema ya kwenye script kwamba nchi inapigwa Mnada hii🤣🤣🤣🤣Hapo labda msukule kama lucas mwashamba unabubujikwa na machozi ndio unaweza hiyo kazi
Na kuna mtu unaweza kumchukia tu bila sababu.Na hampendi kwakuwa Trump anapinga ushoga waziwazi.
Rostam na JKHivi msemaji wa ikulu ni nani?