Waseminari wote tukutane hapa

... msaada wangu utanijia kutoka wapi... Makoko (1981-84). Those 'old good' days... Jesus Christ!

1987 - 1990 Br Brendan akafuatia Fr Msilanga, Fr Chiza na baadae Fr Mzungu (jina limenitoka). Dr Chiza alizingua hadi akatimuliwa na maaskofu. Tamu na chungu ndo maisha ya seminarini. Sala, kazi, michezo na masomo at their best.
 
Nipo mwana likonde seminary, enzi za Rector John Ndimbo, Kwasasa Ni Askofu Wa Jimbo La Mbinga.
Quid Faciendo, Serva Mandatum.

Sawa sawa nawakumbuka sana wazee wetu akina magavila wa mahanjumati na mechi za mpira na Caigo!
 
Nakumbika enzi zetu pale st Joseph Kilocha Seminary tulikuwa tunaogopwa academically nyanda za juu kusini kama ukoma...I like Seminary

Aaaaa wacha mbwembwe....Ina maana hata Don Bosco na Mafinga Seminary wawaogope nyie??after all wapi Fr Einhard Mgaya??wapi Fr Mlowe??
 
Nlikuwa nawaona wa pale Donboscow Mafinga,haisee hauendi likizo mpaka umalize kupasua Magogo yako 15 ya kuni,seminary au mateso😂😂😂😂
 
Jamani Ni muda wa masifu saaa

" Msaada wetu kwa jina la bwana.......
 
waseminari wengi ni wazinzi sijui kwa nini?

Kwa sababu wengi wao waliambiwa tendo la mwanamke kuwa na mwanamme ni OVU na halifai.
Sasa mtu hata km alitaka kuoa alikuwa anakatazwa na Kanisa.
Matokeo yake mtu amejaa Ashk miaka 10. Akitoka hapo ni kutafuna au kutafunwa tu.
 

Inanikumbusha mbali sana du
 
Sisi wengine hTU
 
Sema ktk elimu seminary zipo vizuri sana wakuu...Kanda ya kusini ktk mitihani seminaries were topping the list...
Consolata Seminary,Don Bosco ,Mafinga Seminary ,Kilocha and others
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…