Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Tuliopita lutherani juniir seminary je?
that isn't a seminary.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliopita lutherani juniir seminary je?
We mwanga umetokea wapi mburura wewe
Hahaha...kwahiyo kwny catholic seminaries hakuna waislam na hakuna kufeli kbs?
that isn't a seminary.
na wanasoma wakatoliki tu
.
Tantum ergo sacramentum
Veneremur chernui
Et anticum documentum
Nainua macho yangu kutazama milima - Completo
Nilikuwa Umoja toka form one. Form five nikawa House Perfect. Niliongoza kwa mafanikio sana. Gardens zetu zilitoa mbogamboga hadi nyingine wakawa wanauza Dar.
Namupa seminary,where are u brothers
Memento rebus in arduis servare mentum.
Masifu acha kabisa tune zinazingua sana...! Asubuhi mtu unatia tune mara utasikia watu wanawika ikiwa juu...!
Safi sana. Enzi hizo tunaitana NDUGU. Nilikuwa Mwongozo. siku ya Agriculture day lazima kila mtu aende, haiahirishwi hata kama mvua inanyesha. siku hiyo masomo yanaahirishwa
Salus, honor, virtus quoque
Sit et benedictio:
Procedenti ab utroque
Compar sit laudatio.
Halafu mwongozo na umoja ndo walikuwa wanaupinzani wa jadi, atakae wahi maliza anaenda kumsaidia mwenzake. Mkitoka shamba mnapitia kule basketball ground mnatokea kule central terrace kula mapera ya ujamaa hadi mfike refectory mmeshashiba, mnashushia chai ya rangi na vinyangarika hao michezo.
Uwanja wa damu noma. Ulikuwa huko?
Malengo makuu ya Seminari ni kuandaa mapadre,Seminari ni kitalu ambacho watu wanaotaka kuwa mapadre wanaandaliwa.Sasa hizo shule nyingine kama ni vitalu vya kuandaa mapadre basi uziite SeminariNa Agape Lutheran na Morogoro juniour seminary je?Nini kinafanya shule iitwe seminary?
umemaliza mwaka gani ujiji wewe?