Waseminari wote tukutane hapa

Waseminari wote tukutane hapa

Nilikuwa Umoja toka form one. Form five nikawa House Perfect. Niliongoza kwa mafanikio sana. Gardens zetu zilitoa mbogamboga hadi nyingine wakawa wanauza Dar.

Safi sana. Enzi hizo tunaitana NDUGU. Nilikuwa Mwongozo. siku ya Agriculture day lazima kila mtu aende, haiahirishwi hata kama mvua inanyesha. siku hiyo masomo yanaahirishwa
 
Safi sana. Enzi hizo tunaitana NDUGU. Nilikuwa Mwongozo. siku ya Agriculture day lazima kila mtu aende, haiahirishwi hata kama mvua inanyesha. siku hiyo masomo yanaahirishwa

Halafu mwongozo na umoja ndo walikuwa wanaupinzani wa jadi, atakae wahi maliza anaenda kumsaidia mwenzake. Mkitoka shamba mnapitia kule basketball ground mnatokea kule central terrace kula mapera ya ujamaa hadi mfike refectory mmeshashiba, mnashushia chai ya rangi na vinyangarika hao michezo.

Uwanja wa damu noma. Ulikuwa huko?
 
Nakumbuka Mwongozo na umoja walikuwa wapinzani hadi kwenye football na utunzaji wa bustani, na hata kutoa viongozi wa shule. mwaka mmoja HP alikuwa anatokea house ya Mwongozo, ikatokea mechi kati ya mwongozo na Umoja Mwongozo tukapigwa. basi jioni wakati wa chakula (REFECTORY) HP akayapiga bann mashindano hayo, watu wakashangaa kapata wapi mamlaka hayo, lakini ndo ikawa hivyo kweli. Nakumbua Lower Terrace, Upper terrace. Uwanja wa damu sana tu mkuu
 
Na Agape Lutheran na Morogoro juniour seminary je?Nini kinafanya shule iitwe seminary?
Malengo makuu ya Seminari ni kuandaa mapadre,Seminari ni kitalu ambacho watu wanaotaka kuwa mapadre wanaandaliwa.Sasa hizo shule nyingine kama ni vitalu vya kuandaa mapadre basi uziite Seminari
 
Back
Top Bottom